MACHESHA FM Machesha fm Radio ni Redio inayotangaza Kupitia Masafa Ya 97.7 Mhz kutoka Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi Tanzania.
Dira Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki. Dhamira Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimal