ZIG Radio
LIVETukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi…
Kiswahili
Now playing:
Radio hii Iko ni madhabahu chini ya huduma ya Neno,maombi na maombezi kwa Njia ya mitandao, mtumishi Ayubu Mwafyela Kwa Neema ya Mungu na watumishi wengine Kutoka ndani na nje ya Tanzania Wanatumika katika madhabahu hii