Radio Simba FM is a leading commercial radio station dedicated to delivering authentic entertainment, reliable news, and cultural programming. Broadcasting across the region and…
English
Now playing:
Radio Safina ni kituo cha Radio kilichoanzishwa mwaka wa 2020 kwa madhumuni ya kueneza neno la Mungu kwa njia ya Radio, kituo hiki kinapatikana Mjini Kitale na kinarusha matangazo yake ya kueneza neno la mungu kupitia masafa ya FM 90.7